Radio Rahma

Redio Rahma ilizinduliwa tarehe 28 Desemba 2004, masafa yakiwa ni 91.5 FM Mombasa. Studio zetu zipo Rockwall Plaza Mkomani-Mombasa. Radio Rahma inalenga kutangaza ujumbe wa Uislamu. Tunalenga Waislamu na wasio Waislamu kupitia utangazaji wa ubora wa juu wa vipindi vya kuelimisha ns kuburudisha. Ratiba yetu ya utayarishaji vipindi inategemea mahitaji na utofauti wa wasikilizaji wetu. … Read more

Pwani FM

Pwani fm ni kituo cha radio kinachopeperusha matangazo yake Pwani ya Kenya na kuwafikia zaidi wa wasikilishazaji million 2.2 kila siku. Mlengwa akiwa ni mkaazi wa kijijini na mjini aliye kati ya umri wa miaka 18-45 huku maudhui yetu yakitolewa kwa lugha ya Kiswahili na Mijikenda. Ratiba ya vipindi vina angazia utamaduni wa mpwani katika … Read more

Radio Gulf

Is a community radio based in Kosele town, Rachuonyo subcounty in Homabay county in Kenya airing our services in the lake basin region in the better part of western Kenya. Gulf Radio aims at providing education, entertaining and to critique people (through participatory or circular communication), organizations and communities; and ultimately the government and public … Read more

Radio Amani

A catholic radio station, a community radio station owned by The Catholic Diocese of Nakuru, Kenya. We are based in Nakuru County, but The Catholic Diocese of Nakuru serves to Counties that is Nakuru County and Barinku County. We are faster community radio station, that means we serve the community and within the community we … Read more