Radio Rahma

Redio Rahma ilizinduliwa tarehe 28 Desemba 2004, masafa yakiwa ni 91.5 FM Mombasa.

Studio zetu zipo Rockwall Plaza Mkomani-Mombasa.

Radio Rahma inalenga kutangaza ujumbe wa Uislamu. Tunalenga Waislamu na wasio Waislamu kupitia utangazaji wa ubora wa juu wa vipindi vya kuelimisha ns kuburudisha.

Ratiba yetu ya utayarishaji vipindi inategemea mahitaji na utofauti wa wasikilizaji wetu.

Tunakubali maoni ya umma kupitia sms, simu, mitandao ya kijamii, barua pepe, barua na hata kutembelea kituo.

ABOUT

SOCIAL NETWORKS

Latest programs

Blog posts