Pwani FM

Pwani fm ni kituo cha radio kinachopeperusha matangazo yake Pwani ya Kenya na kuwafikia zaidi wa wasikilishazaji million 2.2 kila siku.

Mlengwa akiwa ni mkaazi wa kijijini na mjini aliye kati ya umri wa miaka 18-45 huku maudhui yetu yakitolewa kwa lugha ya Kiswahili na Mijikenda.

Ratiba ya vipindi vina angazia utamaduni wa mpwani katika kipindi cha Taraabu, bango na mijikenda, pia tuna habari burudani, habari za michezo na midahalo inayomhusisha msikilizaji moja kwa moja.

ABOUT

SOCIAL NETWORKS

Latest programs

Blog posts

No results found.