Takataka Za Plastiki Zinavyotumiwa Kuimarisha Mazingira

Haya ni makala kuhusu taka taka za plastiki zinavyo tumika tena katika hali ya kuhifadhi mazingira.

Wakaazi wa kijiji cha Gazi kaunti ya Kwale wana kusanya taka taka za plastiki kutoka baharini, zina tengezwa kama boriti na kujengewa njia maalum ya watalii kutembea baharini (Board Walk)

SHARE

Je, uko tayari kujiunga?